WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI - ZANZIBAR

Transcription

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI - ZANZIBAR
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI - ZANZIBAR
INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI YA UINGEREZA NGAZI YA
SHAHADA YA PILI KWA MWAKA 2014/2015
SIFA ZA MUOMBAJI:





Awe amemaliza shahada ya kwanza na amefaulu kiwango cha B+.
Awe ana uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili kabla ya kuomba nafasi hii.
Awe amefanikwa kupata ujuzi wa lugha ya kiingereza kupitia CHEVENING ENGLISH
LANGUAGE REQUIREMENTS.
Aweze kujitafutia VISA na akubali masharti yatakayotolewa na vyuo vikuu vya UK.
Sifa na masharti mengineyo yanapatikana katika mtandao; www.chevening.org/apply
TARATIBU ZA MALIPO
Serikali ya Uingereza itagharamia mambo yafuatayo;
 Ada ya masomo na Maposho.
 Tiketi ya kwenda na kurudi UK.
NJIA YA KUFANYA MAOMBI

Muombaji anatakiwa
atume maombi yake moja kwa moja kupitia mtandao;
www.chevening.org/apply kabla ya tarehe ya kufungwa maombi hayo.

Muombaji ni lazima asome maelekezo kabla ya kufanya maombi

Na aambatanishe nakala zote muhimu zinazohitajika.

Muombaji ni lazima achague kozi tatu tofauti na vyuo vinavyotoa kozi hizo.

Muda wa masomo ni mwaka mmoja.
NUKUU; Waombaji wote watakaopenda kupitisha maombi yao wizara ya elimu na mafunzo ya
ufundi watapaswa kujaza fomu za maombi na kuambatanisha na vivuli vinavyohitajika kisha
kuvituma kupitia anuani ifuatayo kabla ya tarehe 15 Oktoba 2014.
Katibu Mkuu ,
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
P.O.BOX 9121.
Dar-es-salaam.
Impitie,
Mkuu,
Kitengo cha Uratibu wa Elimu ya Juu,
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,
P.O.BOX 394.
Zanzibar.
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING
CHEVENING SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE UNITED KINGDOM FOR THE
YEAR 2014/2015.
The Ministry of Education and Vocational Training is inviting applications from qualified
Tanzanians for a one- year Master’s Degree under the Chevening Scholarships Program tenable
in the United Kingdom in the year 2014/2015.
The Chevening Scholarships will cover:




Tuition fees;
A living allowance at set rate (for one individual);
An economy class return airfare to the UK; and
An additional allowance package.
Qualifications





Applicants must be holders of bachelor degree with upper second class honor’s degree
Applicants must be completed at least two years work or equivalent experience before
applying for a Chevening Scholarship
Applicants must be able to meet the Chevening minimum English language requirement
Applicants must be able to obtain the correct visa, and receive an unconditional offer
from a UK university.
Further details of the eligibility criteria can be found at www.chevening.org/apply/
guidance
Mode of Application:





All applications should be made online to the Chevening Scholarship through the
Chevening Scholarships website before the closing date
It is important that applicants before applying online, should read and understand all
given instructions, and should attach all necessary attachment such as certified
photocopies of academic certificates, transcripts, birth certificates and submit online
through the below indicated link.
Applicants must specify three courses according to your precedence that you wish to
study to three universities and submit to these universities at the same time as, or before
applying for a chevening Scholarships
Applicants must demonstrate how you meet the chevening Scholarships selection criteria
in your application.
Further details of the online application process can be found at
www.chevening.org/apply/
All applicants who wish to be nominated by the Ministry of Education and Vocational Training,
should print one hard copy of completely filled application form, attach with certified
photocopies of academic certificates, transcripts, and birth certificate and submit them to the
address below before 15thOctober, 2014.
The Permanent Secretary,
Ministry of Education and Vocational Training,
7 Magogoni Street,
P. O. Box 9121,
11479 DAR ES SALAAM.
Ufs
The Head of Higher Education Coordination Unit.
Ministry of Education and Vocational Training
P.O.BOX 394
Zanzibar